• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe |
Kakonko District Council
Kakonko District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Mawasiliano
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • Usafishaji Na Mazingira
        • Elimu Msingi
        • Elimu ya Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maji
        • Maendeleo ya Jamii
        • Utumishi na Utawala
        • Fedha na Biashara
        • Maliasili, Ardhi na Mazingira
        • Kilimo cha Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Ujenzi na Zimamoto
      • Vitengo
        • Ugavi na Manunuzi
        • Tehama na Habari
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ufugaji Nyuki
        • Uchaguzi
        • Sheria
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Livestock
    • Fisheries
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Usimamizi
      • Elimu Afya na Maji
      • Huduma za Kiuchumi Ujenzi na Mazingira
      • Udhibiti wa UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
        • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayo tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

Maendeleo ya Jamii

MAENDELEO YA VIJANA NA WANAWAKE

  •   Vikundi vya vijana
  • Kufikia mwanzoni mwa mwaka 2015, kuna jumla ya vikundi 31 vya vijana vyenye jumla ya wanachama 1,147 kati yao wanaume ni 717 na wanawake 430. Kati ya vikundi hivyo, 10 vimesajiliwa na kati ya vilivyosajiliwa, 2 vimesajiliwa kama Ushirika.
  • Vikundi vingi vinajishughulisha na kilimo (59.4%). Vingine vinajishughulisha kutunza mazingira kwa kuotesha miche na kuuza (8.1%), biashara ndogo ndogo ((10.8%), ufugaji nyuki na mifugo mingine (5.4%), viwanda vidogo hasa useremala na ufyatuaji matofali (8.1%), kuweka na kukopeshana maarufu kama VICOBA (5.4%) na usafirishaji abiria kwa kutumia pikipiki alimaarufu kama Bodaboda (2.7%).


  • Vikundi vya Wanawake
  • Wilaya ya Kakonko ina jumla ya vikundi 23 vyeynye jumla ya wananchama 590. Kati ya vikundi hivyo 10 vimesajiliwa. Vikundi hivyo vinaendesha miradi au shughuli zifuatazo:- Kilimo (47.2%), kuweka na kukopeshana – SACCOS na VICOBA (20.6%), ufugaji wa kuku, mbuzi na nyuki (8.8%, utunzaji wa watoto yatima (8.8%), viwanda vidogo vya vinu vya kusaga nafaka na ushonaji (5.9%), utunzaji mazingira kwa kuotesha miche na kuuza au kupanda miti (2.9%), biashara ndogo ndogo (2.9%) na utoaji wa burudhani (2.9%).

  • Vikundi vya Wajasiliamali
  • Kufikia mwaka 2014 Wilaya ina jumla ya vikundi vya wajasiliamali 66 ambapo 16 vimesajiliwa. Vikundi hivyo vina wananchama 1,781 (Wanaume 912 na wanawake 869).Vikundi hivyo vinajishughulisha na shughuli za Kilimo (52.8%), kuweka na kukopa – SACCOS na VICOBA – (15.3%), ufugaji kuku na nyuki (13.9%), biashara ndogondogo (12.4%), vinu vya kusaga nafaka (2.8%) na hifadhi ya mazingira (2.8%).

Matangazo

  • FORM I 2021 JOIN INSTRUCTIONS December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ujenzi wa stendi ya kisasa Kakonko waanza kutekelezwa kwa gharama ya Tsh.2.1 bilioni kwa siku 365

    June 20, 2019
  • Hospitali ya Wilaya ya Kakonko yapokea msaada wa vifaa tiba na madawa ya Tsh.88,295,430/=

    May 02, 2019
  • BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA AKABIDHI VIFAA VYA MIFUGO KAKONKO

    January 24, 2019
  • MIRADI 3 YA MAJI YA BILIONI 1.5 KUTEKELEZWA NDANI YA MIEZI 6 KAKONKO

    June 08, 2018
  • Tazama zote

Video

Maadhimisho ya siku ya wanawake kitaifa yafanyika kwa ufanisi Mkoani Simiyu Machi 8, 2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Watendaji
  • Pakua hati yako ya malipo ya mshahara Hapa "Utumishi Portal"
  • Tangazo la zabuni
  • Matokeo ya Mitihani ya baraza
  • Nafasi za kazi zinazotolewa na Sekretalieti ya Ajira
  • Taarifa kwa Umma zinazotolewa na "TAMISEMI"

Viunganishi linganifu

  • Poralg
  • Public Service Management and Good governance
  • Necta
  • Tanzania portal
  • Kigoma Region Website
  • Tangazo la nafasi za kazi
  • Matokeo kidato cha nne 2018/2019 haya hapa
  • Balozi wa Norway akabidhi vifaa vya mifugo kakonko

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 3

    Simu: 028-2820137

    Simu ya Mkononi: 0757470800

    Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz

Mawasiliano

   

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma
    • Kanusho

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa