Hatua zifuatazo unatakiwa kuzifuata.
1. Nenda ofisi za TRA upewe TIN bure
2. FIka ofisi ya Afisa Biashara wa Halmashauri ukuwa na TIN namba pamoja na Picha mbili (Pasport)
3.Utapewa Leseni yako.
Ili mgeni rasmi wa kiserikali kutoka nje ya Wilaya ya Kakonko kufanyiwa maandalizi rasmi ikiwemo booking ya hoteli na nyumba za wageni anapaswa kutoa taarifa mapema kabla ya kuja kwa Afisa Itifaki kwa kupiga simu ya mkononi namba 0657270032
Namna ya kujiunga na timu ya Kakonko Vetenary
Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: 028-2820137
Simu ya Mkononi: 0757470800
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa