• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe |
Kakonko District Council
Kakonko District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Mawasiliano
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • Usafishaji Na Mazingira
        • Elimu Msingi
        • Elimu ya Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maji
        • Maendeleo ya Jamii
        • Utumishi na Utawala
        • Fedha na Biashara
        • Maliasili, Ardhi na Mazingira
        • Kilimo cha Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Ujenzi na Zimamoto
      • Vitengo
        • Ugavi na Manunuzi
        • Tehama na Habari
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ufugaji Nyuki
        • Uchaguzi
        • Sheria
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Livestock
    • Fisheries
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Usimamizi
      • Elimu Afya na Maji
      • Huduma za Kiuchumi Ujenzi na Mazingira
      • Udhibiti wa UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
        • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayo tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji

 

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO ROBO YA PILI KWA MWAKA 2016/17 (JULAI, 2016 HADI DISEMBA, 2016)

                                           

 UTANGULIZI

Katika mwaka wa fedha 2016/17, Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko iliidhinishiwa jumla ya Tsh. 8,252,991,478 /= (Tsh 5,353,073,000/=toka Serikali Kuu, Tsh 2,641,717,074/= toka kwa wahisani na Tsh 258,201,404 toka mapato ya ndani ya Halmashauri 60%) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Maendeleo. Wakati huo, Halmashauri ilikuwa imebakiwa na salio ishia toka mwaka 2015/16 ya kiasi cha TSh. 1,614,009,116/= zikiwa zipo katika akaunti za Halmashauri. Hii inafanya kuwepo nafasi ya kutumia jumla ya TSh. 9,867,000,594/= kwa ajili ya kutekeleza miradi ya Maendeleo kwa mwaka wa fedha 2016/2017.

2.0. UTEKELEZAJI WA MIRADI (JULAI, 2016 – DESEMBA, 2016)

 

2.1.   MIRADI VIPORO KWA MWAKA 2015/2016

Kwa mwaka wa Fedha 2015/2016, Halmashauri ilibakiwa na Fedha Tsh 1,614,009,116/= katika akaunti zilizopo ngazi ya Wilaya. Hadi mwishoni mwa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2016/2017 Tsh. 815,460,023/= zimetumika kutekeleza miradi viporo sawa na 50.52% ya bakaa.

Fedha nyingi zilizokuwa hazijatumika zikiwemo fedha za ujenzi wa Makao Makuu ya Halmashauri, ujenzi wa wadi na Maabara kituo cha afya Nyanzige, mpango wa maendeleo ya elimu sekondari awamu ya pili (SEDP II), programu ya EQUIP zimeanza kutumika na utelekezaji wake unaendelea kwa kasi isipokuwa uendelezaji wa skimu ya Ruhwiti ambayo fedha zake hazijaanza kutumika kutokana na kuchelewa kupatikana kwa Mkandarasi anayekidhi vigezo, taratibu za kumpata mkandarasi mwenye sifa zipo hatua ya mwisho kukamilishwa.

 

2.2. MIRADI YA MWAKA 2016/17

Hadi kufikia tarehe 31.12.2016 kwa robo ya pili, Halmashauri ilikuwa imepokea Tsh 2,228,177,416/= kwa ajili ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka wa fedha 2016/2017, na kutumia Tsh 977,469,460/= sawa 43.87% ya fedha zilizopokelewa. Pia Halmashauri imepokea fedha  nje ya bajeti iliyoidhinishwa kwa mwaka 2016/2017 kiasi cha Tsh  260,173,468/= zikiwa ni fedha za mfuko wa barabara (rollover fund) kwa ajili ya kulipa kazi za barabara zilizotendwa 2015/2016 ambazo fedha yake ilikuja kidogo na Tsh 147,193,468/=  sawa 56.58% zimekwishatumika kwa kulipa Wakandarasi waliomaliza kazi kwa mujibu wa mkataba.

 

 

2.3 CHANGAMOTO ZA UTEKELEZAJI

Masharti ya fedha za EQUIP ambayo shughuli zake haziwezi kufanyika mpaka ziruhusiwe na EQUIP – Makao Makuu.

Baadhi ya wakandarasi kuwa na uwezo mdogo hali inayopelekea kuchelewa kukamilika kwa kazi kwa wakati.

Halmashauri inaendelea kuchukua hatua mbalimbali kukabiliana na changamoto zinazojitokeza ikiwemo kuvunja mikataba ya wakandarasi wanaosuasua kumaliza kazi kwa wakati bila sababu za msingi. Halmashauri pia inaendelea kuwasiliana na EQUIP – Makao Makuu ili waharakishe utekelezaji wa shughuli zilizopangwa.

 

 

 

 

Matangazo

  • FORM I 2021 JOIN INSTRUCTIONS December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ujenzi wa stendi ya kisasa Kakonko waanza kutekelezwa kwa gharama ya Tsh.2.1 bilioni kwa siku 365

    June 20, 2019
  • Hospitali ya Wilaya ya Kakonko yapokea msaada wa vifaa tiba na madawa ya Tsh.88,295,430/=

    May 02, 2019
  • BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA AKABIDHI VIFAA VYA MIFUGO KAKONKO

    January 24, 2019
  • MIRADI 3 YA MAJI YA BILIONI 1.5 KUTEKELEZWA NDANI YA MIEZI 6 KAKONKO

    June 08, 2018
  • Tazama zote

Video

Maadhimisho ya siku ya wanawake kitaifa yafanyika kwa ufanisi Mkoani Simiyu Machi 8, 2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Watendaji
  • Pakua hati yako ya malipo ya mshahara Hapa "Utumishi Portal"
  • Tangazo la zabuni
  • Matokeo ya Mitihani ya baraza
  • Nafasi za kazi zinazotolewa na Sekretalieti ya Ajira
  • Taarifa kwa Umma zinazotolewa na "TAMISEMI"

Viunganishi linganifu

  • Poralg
  • Public Service Management and Good governance
  • Necta
  • Tanzania portal
  • Kigoma Region Website
  • Tangazo la nafasi za kazi
  • Matokeo kidato cha nne 2018/2019 haya hapa
  • Balozi wa Norway akabidhi vifaa vya mifugo kakonko

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 3

    Simu: 028-2820137

    Simu ya Mkononi: 0757470800

    Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz

Mawasiliano

   

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma
    • Kanusho

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa