MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO ANAYO FURAHA KUTANGAZA NAFASI 04 ZA AJIRA YA KUDUMU KWA WATANZANIA WOTE WENYE SIFA STAHIKI KWA NAFASI YA DEREVA DARAJA LA II. MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 30/07/2023 SAA TISA NA NUSU ALASIRI. KWA MAELEZO KAMILI FUNGUA TANGAZO HAPA CHINI;TANGAZO LA KAZI MADEREVA.pdf
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa