Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea na maandalizi ya mchakato wa Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura katika Jimbo la Buyungu, Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Afisa Mwandikishaji anawataarifu wafuatao kuwa wamechaguliwa kuwa Waandishi wasaidizi na Waendesha vifaa vya Bayometriki. Orodha imeambatishwa hapo chapo chini;
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa