Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anapenda kuwataarifu
waombaji wafuatao kuja kwenye usaili wa mahojiano baada ya kushinda kwenye usaili wa kuandika (Mchujo) uliofanyika leo tarehe 30/09/2024, katika Maktaba ya Shule ya Sekondari Kakonko. Hivyo, basi wafuatao wanatakiwa kufika tarehe 01/10/2024
Usaili utafanyika Ukumbi wa Gombe katika Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko- Kanyamfisi saa mbili kamili asubuhi (2:00)
kwamaelezo zaidi fungua hapo chini.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa