Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anayo furaha kutangaza nafasi 26 za ajira ya Mkataba ya Wakusanya Mapato kwa Wananchi wa Kakonko wote wenye sifa stahiki. Mwisho wa kutumamaombi ni tarehe 21/01/2025. Kupata sifa za mwombaji na anuani ya kutuma maombi, tafadhali fungua hapa chini;
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa