Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anawatangazia Watumishi wote pamoja na Wazabuni wenye madai kuwa uhakiki wa madeni umeanza tarehe 04.07.2022 na litakuwa linafanyika kuanzia asubuhi saa 2:00 hadi saa 10:00 jioni hadi tarehe 08.07.2022 hivyo wanatakiwa kufika na Viambata vyao vyote muhimu vitakavyosaidia kurahisisha zoezi hilo.
Kwa maelezo zaidi fungua hapa - TANGAZO UHAKIKI MADENI.pdf
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa