Friday 6th, December 2024
@HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO
MKURUGENZI MTENDAJI NDUGU STEPHANO MHULI ANAPENDA KUUTARIFU UMMA KUWA HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO IMEPOKEA FEDHA KUTOKA SERIKALI KUU KIASI CHA BILIONI NNE MILIONI MIA SABA THELATHINI NA NANE LAKI TATU SITINI NA NNE NA SHILINGI ISHIRINI NA MOJA NA SENTI SITINI NA NNE TU Tshs.4,738,364,021.64 KWA AJILI YA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO KWA MWAKA 2023/2024. KWA TAARIFA KAMILI NA MCHANGANUO TAFADHALI FUNGUA MAELEZO YA PDF HAPO CHINI;
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa