• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe |
Kakonko District Council
Kakonko District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Mawasiliano
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • Usafishaji Na Mazingira
        • Elimu Msingi
        • Elimu ya Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maji
        • Maendeleo ya Jamii
        • Utumishi na Utawala
        • Fedha na Biashara
        • Maliasili, Ardhi na Mazingira
        • Kilimo cha Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Ujenzi na Zimamoto
      • Vitengo
        • Ugavi na Manunuzi
        • Tehama na Habari
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ufugaji Nyuki
        • Uchaguzi
        • Sheria
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Livestock
    • Fisheries
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Usimamizi
      • Elimu Afya na Maji
      • Huduma za Kiuchumi Ujenzi na Mazingira
      • Udhibiti wa UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
        • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayo tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

MWENYEKITI HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA ALAT MKOA WA KIGOMA.

Imetumwa: January 29th, 2026

Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Kibondo, Alex Sylvester Baragomwa amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania Mkoa wa Kigoma (ALAT) na kuwasisitiza wenyeviti wa Halmashauri kwenda kushirikiana ipasavyo na  Wakurugenzi watendaji  katika kukusanya mapato.

Akitangaza matokeo ya ushindi huo, Katibu wa kikao, Ndaki Stephano Mhuli amemtangaza Mhe.Alex Baragomwa kuibuka na ushindi wa nafasi ya mwenyekiti wa halmashauri baada ya kuwashinda wagombea wenzake watatu kwa kupata kura 12 kati ya wajumbe 30 walioshiriki zoezi la kupiga kura.

Mwenyekiti aliyechaguliwa, Alex Baragomwa amewashukuru wajumbe kwa kumchagua na kueleza kuwa analenga kutengeneza mahusiano baina ya Madiwani na Halmashauri ili kuwa na umoja wa pamoja kama Mkoa.

“Sisi wenyeviti wa Halmashauri ndio watu ambao tunaweza tukatoa mtazamao wa maendeleo katika halmashauri zetu kwa hiyo niwaombe sana wenyeviti wa halmashauri wenzangu twende tukashirikiane vyema katika kukusanya mapato ya halmashauri”, alieleza Mhe.Baragomwa.

 

Aidha katika kikao hicho, Mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Kasulu, Mhe.Ayubu Ngalaba alipita bila kupingwa katika nafasi ya makamu mwenyekiti baada ya kuwa mgombea pekee katika nafasi hiyo.

Kikao hicho kilichohusisha Wenyeviti wa Halmashauri za Mkoa wa Kigoma, Wakurugenzi watendaji na waheshimiwa madiwani wawili kwa kila halmashauri ambao ni wajumbe wa ALAT Mkoa kimefanyika leo Alhamisi 29 Januari, 2026 Wilayani Kakonko katika ukumbi mpya wa Halmashauri uliopo eneo la Kanyamfisi ambapo zipo ofisi za halmashauri.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO MAKARANI WAONGOZAJI October 19, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO WASIMAMIZI WA VITUO NA WASIMAMIZI WASAIDIZI October 19, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA, WASIMAMIZI WASAIDIZI NA MAKARANI WAONGOZAJI October 05, 2025
  • TANGAZO LA KUBADILIKA TAREHE YA USAILI. October 06, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENYEKITI HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA ALAT MKOA WA KIGOMA.

    January 29, 2026
  • WATUMISHI KAKONKO KUENDELEA KUBORESHEWA MAZINGIRA MAZURI MAHALA PA KAZI.

    January 22, 2026
  • OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA YATOA MAFUNZO YA KANUNI ZA MAADILI YA UTENDAJI KATIKA UTUMISHI WA UMMA KWA WATUMISHI WILAYANI KAKONKO.

    January 20, 2026
  • WATAALAM WA USIMAMIZI WA MAAFA WATAKIWA KUHAKIKISHA JAMII INAKUWA SALAMA NA YENYE UELEWA KUHUSIANA NA MAAFA.

    November 20, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkurugenzi afafanua mikakati ya kuendeleza zao la parachichi ikiwemo kugawa mashamba kwa wananchi.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Watendaji
  • Ukaguzi wa Miradi Kakonko
  • Lori jipya la Halmashauri laongeza kasi ya utekelezaji Miradi ikiwemo mradi wa Ufyatuaji tofali
  • TASAF kuibua ajira Kakonko
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko - FACEBOOK account
  • Habari motomoto za magazeti kila siku
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO- INSTAGRAM ACCOUNT
  • WANAFUNZI WILAYA YA KAKONKO WALIOPANGIWA SHULE KIDATO CHA KWANZA
  • MATOKEO YA WANAFUNZI WA DARASA LA NNE WILAYA YA KAKONKO 2022

Viunganishi linganifu

  • Poralg
  • Public Service Management and Good governance
  • Necta
  • Tanzania portal
  • Kigoma Region Website
  • Tangazo la nafasi za kazi
  • Matokeo kidato cha nne 2018/2019 haya hapa
  • Balozi wa Norway akabidhi vifaa vya mifugo kakonko
  • Bunge la Tanzania
  • kakonko tv
  • Mapinduzi sekta ya elimu Kakonko
  • halmashauri ya wilaya ya kakonko - habari na mawasiliano
  • MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA 2 MWAKA 2022

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 3

    Simu: +255(028) 2988881

    Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881

    Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz

Mawasiliano

   

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma
    • Kanusho

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Toto Slot
  • Situs Toto
  • KOI200
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AXL777
  • Slot Gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • yamitoto
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88