• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe |
Kakonko District Council
Kakonko District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Mawasiliano
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • Usafishaji Na Mazingira
        • Elimu Msingi
        • Elimu ya Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maji
        • Maendeleo ya Jamii
        • Utumishi na Utawala
        • Fedha na Biashara
        • Maliasili, Ardhi na Mazingira
        • Kilimo cha Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Ujenzi na Zimamoto
      • Vitengo
        • Ugavi na Manunuzi
        • Tehama na Habari
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ufugaji Nyuki
        • Uchaguzi
        • Sheria
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Livestock
    • Fisheries
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Usimamizi
      • Elimu Afya na Maji
      • Huduma za Kiuchumi Ujenzi na Mazingira
      • Udhibiti wa UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
        • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayo tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA YATOA MAFUNZO YA KANUNI ZA MAADILI YA UTENDAJI KATIKA UTUMISHI WA UMMA KWA WATUMISHI WILAYANI KAKONKO.

Imetumwa: January 20th, 2026

Watumishi wa Halmashauri Wilayani Kakonko wamesisitizwa kuzingatia maadili ya utumishi wa Umma na kuimarisha utendaji wao wa kazi kupitia mifumo ya usimamizi wa utendaji (PEPMIS).

Wito huo umetolewa na Afisa Habari mkuu kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, Rocky Robert Setengo wakati akitoa mafunzo ya kanuni za maadili ya utendaji katika utumishi wa umma kwa watumishi Wilayani Kakonko.

Mafunzo hayo yamelenga kufanya uhamasishaji wa maadili kwa watumishi wa umma kwa kuwakumbusha na kujengeana uelewa katika masuala ya usimamizi wa maadili pamoja na utekelezaji wa majukumu katika maeneo yao ya kazi.

“Watumishi wa umma tunawasisitiza kuhakikisha kwamba wanaheshimu kanuni 8 za maadili ya utendaji katika utumishi wa umma pamoja na kuzisimamia ipasavyo,”, ameeleza Setengo.

Aidha amewataka watumishi wanapokuwa wanatoa huduma wazingatie  kanuni zote 8 pamoja na waraka wa mavazi kwa watumishi wa umma kuepuka malalamiko ya Wananchi juu ya ucheleweshwaji wa huduma,  lugha isiyo ya staa, uvaaji usio mzuri, na kutofika ofisini kwa wakati.

Akifafanua kile kilichofundishwa afisa utumishi, Fabius Jeremiah ameeleza kuwa wamejifunza kanuni 8 ikiwemo kufanya kazi kwa bidii, kuheshimu sheria na  kutoa huduma bila upendeleo hivyo ameahidi kwa niaba ya watumishi kuhakikisha yale yote waliyoelekezwa wanakwenda kufanyia kazi.

Mmoja wa washiriki wa mafunzo, Anderson Salum silvestor, Mtendaji wa Kata ya Kiziguzigu ametoa shukrani kwa mafunzo waliyopata kuhusiana na maadili katika  utumishi wa umma.

“Kimsingi maadili ya utunmishi wa umma yanabeba taswira nzima ya uwajibikaji wa serikali kwa watu wake, kwa hiyo sisi kama watumishi wa umma tunao wajibu wa kuhakikisha kwamba tunatekeleza na kuzingatia maadili ya umma ili kuisaidia serikali yetu na viongozi wetu katika kuwajibika kwa watu wake”, alieleza Anderson.

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora kupitia Idara ya usimamizi wa maadili imetoa mafunzo hayo kwa Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri pamoja na Watumishi wa Halmashauri siku ya Jumatatu  tarehe 19 Januari, 2026 katika Ofisi za Halmashauri pamoja na Ukumbi wa Halmashauri uliopo Wilayani Kakonko.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO MAKARANI WAONGOZAJI October 19, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO WASIMAMIZI WA VITUO NA WASIMAMIZI WASAIDIZI October 19, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA, WASIMAMIZI WASAIDIZI NA MAKARANI WAONGOZAJI October 05, 2025
  • TANGAZO LA KUBADILIKA TAREHE YA USAILI. October 06, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENYEKITI HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA ALAT MKOA WA KIGOMA.

    January 29, 2026
  • WATUMISHI KAKONKO KUENDELEA KUBORESHEWA MAZINGIRA MAZURI MAHALA PA KAZI.

    January 22, 2026
  • OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA YATOA MAFUNZO YA KANUNI ZA MAADILI YA UTENDAJI KATIKA UTUMISHI WA UMMA KWA WATUMISHI WILAYANI KAKONKO.

    January 20, 2026
  • WATAALAM WA USIMAMIZI WA MAAFA WATAKIWA KUHAKIKISHA JAMII INAKUWA SALAMA NA YENYE UELEWA KUHUSIANA NA MAAFA.

    November 20, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkurugenzi afafanua mikakati ya kuendeleza zao la parachichi ikiwemo kugawa mashamba kwa wananchi.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Watendaji
  • Ukaguzi wa Miradi Kakonko
  • Lori jipya la Halmashauri laongeza kasi ya utekelezaji Miradi ikiwemo mradi wa Ufyatuaji tofali
  • TASAF kuibua ajira Kakonko
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko - FACEBOOK account
  • Habari motomoto za magazeti kila siku
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO- INSTAGRAM ACCOUNT
  • WANAFUNZI WILAYA YA KAKONKO WALIOPANGIWA SHULE KIDATO CHA KWANZA
  • MATOKEO YA WANAFUNZI WA DARASA LA NNE WILAYA YA KAKONKO 2022

Viunganishi linganifu

  • Poralg
  • Public Service Management and Good governance
  • Necta
  • Tanzania portal
  • Kigoma Region Website
  • Tangazo la nafasi za kazi
  • Matokeo kidato cha nne 2018/2019 haya hapa
  • Balozi wa Norway akabidhi vifaa vya mifugo kakonko
  • Bunge la Tanzania
  • kakonko tv
  • Mapinduzi sekta ya elimu Kakonko
  • halmashauri ya wilaya ya kakonko - habari na mawasiliano
  • MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA 2 MWAKA 2022

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 3

    Simu: +255(028) 2988881

    Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881

    Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz

Mawasiliano

   

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma
    • Kanusho

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • toto slot
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Toto Slot
  • Situs Toto
  • KOI200
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AXL777
  • Slot Gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • yamitoto
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88