TAARIFA YA MANUNUZI KWA ROBO YA PILI [OCTOBA - DESEMBA]
YA MWAKA WA FEDHA 2016/2017.
UTANGULIZI.
Taarifa hii inawasilishwa kwa mujibu wa kanuni za manunuzi ya umma katika mamlaka ya Serikali za Mitaa,Tangazo la serikali No 330 la tarehe 12 Septemba 2014 kifungu No 17 (b).
2.0 MANUNUZI.
Kwa kipindi cha robo ya pili [Octoba -Desemba] ya mwaka wa fedha 2016/2017 halmashauri imefanya manunuzi mbalimbali yenye jumla ya Tsh:125,946,507.00 kama ifuatavyo:
Jumla ya manunuzi ya kazi [works]: hakuna
Jumla ya manunuzi ya bidhaa[goods]: Tsh:119,454,507.00
Jumla ya manunuzi ya huduma zisizo za kiushauri [Non consultancy services] Tsh 6,492,000.00
Jumla ya huduma za kiushauri[ consultancy services] hakuna
Jumla kuu ya manunuzi yote ni Tsh: 125,946,507.00.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa