Mh. Juma Maganga Muhunga amekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri tangu kuzinduliwa kwa Halmashauri tarehe 19 Julai 2013. Kabla ya kuanzishwa kwa Halmashauri tarehe 8/3/2013 na kutangazwa na gazeti la serikali kwa GN 42, Mh Juma Maganga Muhunga alikuwa mwenyekiti wa Halmashauri ya Kibondo
Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: 028-2820137
Simu ya Mkononi: 0757470800
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa