DIVISION YA AFYA, USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
5.0 Sekta ya Afya
Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko ina vituo 28 vya kutolea huduma za afya, kama inavyoonesha hapa chini
MMILIKI
|
ZAHANATI
|
VITUO VYA AFYA
|
JUMLA
|
Serikali - Halmashauri
|
19 |
4 |
23 |
Serikali - JWTZ
|
1 |
|
1 |
Binafsi
|
3 |
|
3 |
JUMLA
|
24 |
4 |
28 |
Chanzo: Idara ya Afya
5.1 Mapambano dhidi ya maambukizi ya Virusi vinavyosababisha UKIMWI (VVU).
Hali ya mapambano dhidi ya maambukizi ya Virusi vinavyosababisha UKIMWI (VVU) ni kama inavyo onekana katika jedwali hapa chini;.
MWAKA
|
2020/2021 |
2021/2022 |
ONGEZEKO |
Watu wanaoishi na VVU (HIV positivity rate)
|
2.5% |
2.7% |
2% |
Vituo vya kutolea huduma ya UKIMWI (refilling center)
|
13 |
14 |
1 |
Vituo vya matunzo na tiba (care and treatment center)
|
4 |
4 |
0 |
Kituo cha matunzo na tiba -TRC kambi ya wakimbizi Mtendeli
|
1 |
1 |
0 |
Chanzo: Idara ya Afya
5.2 Uthibiti wa ugonjwa wa Malaria.
Kiwango cha maambukizi ya malaria baina ya wagonjwa wanaofika vituo vya afya ni Kama inavyoonesha hapo chini:
Kiwango cha Maambukizi ya Malaria
Mwaka
|
Kiwango cha maambukizi ya malaria kwa wagonjwa wanoafika katika vituo vya kutolea huduma za Afya.
|
2019/2020
|
19.1% |
2020/2021
|
28% |
2021/2022
|
33% |
Chanzo: Idara ya Afya
5.3 Huduma za afya ya uzazi na mtoto
Huduma ya mama na mtoto inatolewa katika vituo 24 vya kutolea huduma za afya. Kwa kipindi cha miaka mitatu vifo vya akina mama vimepungua na hili ni juhudi za serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kama UMATI, AMREF, Marie Stoppes na THPS kupambana kuhakikisha Halmashauri inamaliza vifo vyote vya akina mama wajawazito kama ifuatavyo;
Huduma za afya ya uzazi na mtoto
Mwaka
|
Idadi ya vifo vya akina mama
|
2019/2020
|
3 |
2020/2021
|
7 |
2021/2022
|
3 |
Chanzo: Idara ya Afya
CHF iliyoboreshwa.
Halmashauri ina wanachama 18,306 wa CHF iliyoboreshwa ambayo ni sawa na 11.4%. Kuna baadhi ya changamoto zinapunguza kasi ya uandikishaji wa CHF changamoto kama kutokulipwa kwa wakati madai ya vituo na zahanati, bei za vipimo, dawa na baadhi ya huduma zingine kutokuwekwa wazi, pia mfumo wa madai kutolipa fomu zote za madai kama madai yalivyo.
5.4 Hali ya Upatikanaji wa Dawa na Vifaa Tiba
Hali ya upatikanaji wa dawa muhimu ni 87%. Pamoja na upatikanaji huo, maombi ya dawa yanapowasilishwa huletwa dawa baadhi tu na wakati mwingine sio kwa kiwango kilichoagizwa.
5.5 Matibabu ya wazee
Jumla ya wazee 10,966 wametambuliwa katika kata zote 13 za Wilaya. Pia kuna jumla ya mabaraza ya wazee 58 katika kata zote 13. Halmashauri ya Wilaya katika kipindi cha miaka mitatu mfululizo imetoa huduma za afya kwa wazee bure kulingana na sera na miongozo ya serikali kama inavyo onekana hapa chini.
Wazee waliotambuliwa
Mwaka
|
Me |
Ke |
Jumla |
2019/2020
|
3,313 |
2,304 |
5,617 |
2020/2021
|
2,143 |
2,006 |
4,149 |
2021/2022
|
577 |
623 |
1,200 |
Jumla
|
6,033 |
4,933 |
10,966 |
Chanzo: Idara ya Afya
5.6 Uboreshaji wa miundombinu katika vituo vya kutolea huduma za Afya.
a) Ujenzi wa Miundombinu ya Afya
Ujenzi wa Hospitali majengo 8, Nyumba ya Watumishi na Vituo vya afya
Katika kipindi cha 2019/2020 hadi 2021/2022 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko imefanikiwa kujenga hospitali za Wilaya majengo 7, EMD, Nyumba ya watumishi na vituo vya Afya 2 kama ifuatavyo;.
Ujenzi wa Hospitali majengo 8 na Nyumba ya Watumishi
Huduma
|
Utekelezaji wa ujenzi ulikofikia |
Jumla Sh. |
Ujenzi wa Hospitali ya wilaya majengo 7
|
98% |
2,690,000,000.00 |
Vifaa Tiba Hospitali ya Wilaya
|
100% |
500,000,000.00 |
Hospitali ya Wilaya-EMD
|
85% |
300,000,000.00 |
Hospitali ya Wilaya- Nyumba ya Watumishi
|
90% |
90,000,000.00 |
Ujenzi wa kituo cha Afya Nyakiyobe
|
70% |
500,000,000.00 |
Ujenzi wa kituo cha Afya Mugunzu
|
55% |
500,000,000.00 |
Jumla
|
|
4,580,000,000.00 |
Chanzo: Idara ya Afya
1.Jengo la Dharura (EMD)
2.Jengo la Mionzi (Radiology)
3.Nyumba ya Watumishi (3 in 1)
4.Jengo la Wagonjwa wa nje (OPD)
5.Jengo la Maabara (Laboratory)
6.Jengo la upasuaji na wodi ya wazazi
7.Jengo la Dawa (Pharmacy)
(b) Ujenzi wa zahanati
Katika kipindi cha miaka mitatu (3) ya 2019/2020 hadi 2021/2022 Halmashauri imejenga zahanati kama ifuatavyo;
Ujenzi na ukarabati wa zahanati
Huduma
|
Utekelezaji wa ujenzi ulikofikia |
Jumla Sh. |
Ujenzi wa jengo la mama na mtoto - Kinonko
|
100% |
50,000,000.00 |
Ujenzi wa jengo la mama na mtoto - Bukirilo
|
100% |
50,000,000.00 |
Ukarabati wa jengo la OPD zahanati ya Kiduduye
|
100% |
50,000,000.00 |
Ukarabati wa jengo la OPD zahanati ya Rumashi
|
90% |
50,000,000.00 |
Ukamilishaji wa zahanati ya Luhuru
|
45% |
50,000,000.00 |
Ukamilishaji wa zahanati ya Rusenga
|
38% |
50,000,000.00 |
Ujenzi wa Zahanati-Kihomoka (Own Source)
|
95% |
60,000,000.00 |
Ujenzi wa Zahanati-Njoomlole (Own Source)
|
95% |
60,000,000.00 |
Ujenzi wodi ya baba, mama na mtoto katika zahanati ya Kasongati kwa ufadhili wa UNFPA
|
100% |
137,916,193.00 |
Ujenzi wodi ya baba, mama na mtoto katika zahanati ya Muhange kwa ufadhili wa UNFPA
|
100% |
97,025,060.00 |
Ujenzi wodi ya baba, mama na mtoto katika zahanati ya Gwarama - UNFPA
|
98% |
75,000,000.00 |
Ujenzi wa zahanati ya Churazo - World Vision
|
95% |
245,712,290.92 |
Ujenzi wa zahanati ya Ilabiro - World Vision
|
92% |
260,793,523.00 |
Ujenzi wa zahanati ya Chilambo - World Vision
|
100% |
203,054,313.00 |
Ujenzi wa zahanati ya Nyamtukuza - World Vision
|
92% |
65,110,630.00 |
Jumla
|
|
1,504,612,009.92 |
Chanzo: Idara ya Afya
(c) Ujenzi wa Matundu ya vyoo
Pia katika mwaka wa fedha 2019/2020 hadi 2021/2022 Halmashauri kupitia mradi wa Program ya Maji na Usafi wa Mazingira Afya unaofadhiliwa na Benki ya Dunia
Vimejengwa vyoo na kuweka mifumo ya maji katika vituo vya kutolea huduma za afya 16. Ujenzi katika vituo vyote 16 umekamilika.
Huduma
|
Hatua ukamilishaji |
Jumla Sh. |
Vituo vya Afya @ 22,000,000.00 kakonko, Gwanumpu, Nyanzige, Kiduduye, Kazilamihunda, Katanga, Muhange, Nyabibuye, Gwarama, Kasanda, Nyamtukuza na Kabingo
|
100% |
264,000,000.00 |
Vituo vya Afya @ 17,408,000.00 Kasongati, Kiga na Bukirilo
|
100% |
52,224,000.00 |
Kituo cha Afya Rumashi
|
100% |
17,384,000.00 |
JUMLA
|
333,608,000.00 |
Chanzo: Idara ya Afya
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa