• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe |
Kakonko District Council
Kakonko District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Mawasiliano
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • Usafishaji Na Mazingira
        • Elimu Msingi
        • Elimu ya Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maji
        • Maendeleo ya Jamii
        • Utumishi na Utawala
        • Fedha na Biashara
        • Maliasili, Ardhi na Mazingira
        • Kilimo cha Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Ujenzi na Zimamoto
      • Vitengo
        • Ugavi na Manunuzi
        • Tehama na Habari
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ufugaji Nyuki
        • Uchaguzi
        • Sheria
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Livestock
    • Fisheries
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Usimamizi
      • Elimu Afya na Maji
      • Huduma za Kiuchumi Ujenzi na Mazingira
      • Udhibiti wa UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
        • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayo tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

Mifugo na Uvuvi

UTANGULIZI.

Shughuli za Idara ya Mifugo na Uvuvi  zimegawanyika katika vipengele kama ifuatavyo hapa chini.

Kutoa Matibabu kwa Mifugo

Kutoa chanjo kwa Mifugo.

Kukagua nyama kwa ajili ya kitoweo.

Kutoa vibali vya kusafirisha Mifugo na vyambo vya kuvulia Samaki.

Kukusanya takwimu na Kuandaa taarifa za udhibiti wa Magonjwa ya Mifugo.

Kutoa mafunzo kwa wafugaji wa mbuzi.

Kutoa Ushauri kwa wafugaji.

2.0    KINGA DHIDI YA MAGONJWA YA MIFUGO

Takwimu za mifugo iliyopatiwa chanjo dhidi ya magonjwa ni kama ifuatavyo kwenye jedwali namba 1 hapa chini; -

  • Jedwali namba 1. Mifugo iliyochanjwa.
AINA YA MIFUGO
AINA YA UGONJWA
                 MWEZI
          JUMLA
 APRILI.
MAY.
JUNE
Kuku
Mdondo
995
0
0
995
Mbwa
Kichaa cha Mbwa
0
0


Na.
Kata
Lengo
Idadi chanjwa
Asilimia
1.
Kasanda
179
 168
93.8
2.
Kiziguzigu
168
 133
79.2
3.
Katanga
174
 160
91.9
4.
Mugunzu
165
 150
90.9
5.
Gwarama
119
   70
8.85
6.
Muhange
151
   60
39.7
7.
Rugenge
125
   53+36
71.2
8.
Gwanumpu
192
  100
52.1
9.
Kanyonza
104
   66
63.4
10.
Kakonko
112
   55
49.1
11.
Nyabibuye
64
   30
46.8
12.
Kasuga
221
  210
95.0
13.
Nyamtukuza
285
  210
73.7

JUMLA
2,059
1,501
74.8


  • 3.0 MIFUGO ILIYOCHINJWA NA KUKAGULIWA KWA AJILI YA KITOWEO.
  • Mifugo aina tofauti kama ilivyoorodheshwa kwenye jedwali namba 2 hapa chini ilichinjwa na kukaguliwa kwenye kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2021/22
  • Jedwali namba 2. Mifugo iliyochinjwa.
AINA YA MIFUGO
MWEZI
JUMLA
KIASI CHA MAPATO KUSANYWA (TSH.)

APRILY.
MAY.
JUNE
Ng’ombe
  68
   72
   76
    216
   1,188,000/=
Mbuzi
384
461
448
1,293
3,232,500/=
Kondoo
   14
   12
     16
      42
      105,000/=
Nguruwe
   85
   76
  84
    245
  980,000/=
JUMLA
5,505,500/=

3.1 VIUNGO VILIVYOTUPWA.

Viungo vilivyotupwa baada ya kuonekana kuwa na itilafu wakati wa zoezi la ukaguzi wa nyama kwa ajili ya kitoweo ni kama inavyoonesha kwenye jedwali Na.3 hapa chini.

Jedwali Namba 3

AINA YA MIFUGO
KIUNGO TUPWA
IDADI
SABABU
Ng’ombe
Maini
59
Fascioliasis, Abscess,
Mapafu
11
Hydatid cyst, Emphysema, Haemorrhagic
Bandama
1
Spleenomegaly
Figo
2
Hydronephrosis,
Mbuzi
Maini
75
Fascioliasis,
Utumbo
162
Pimplygut
Mapafu
34
Hydatid cyst, Emphysema
Kondoo
Maini
5
Fascioliasis
Mapafu
2
H/cyst
Utumbo
18
Pimplyguts
Nguruwe
Mapafu
7
Haemorrhagic
Figo
4
Hydronephrosis

4.0 MATIBABU NA VIFO KWA MIFUGO.

Matibabu ya mifugo yaliyotolewa katika kipindi cha robo ya tatu mwaka wa fedha 2012/22 yalihusisha mifugo tofauti na kutolewa taarifa toka kwa wataalamu waliopo vijijini ni kama inavyoonesha kwenye jedwali namba 4 hapa chini :-

  • Jedwali namba 4. Matibabu na vifo.
AINA YA MIFUGO
UGONJWA
APRILY.
MAY.
JUNE.
             VIFO
APRLY.
MAY.
JUNE.
NG’OMBE
Ndigana baridi
18
12
14
4
6
3
Kukojoa damu
6
4
11
0
3
1
Ndigana kali
5
3
8
1
0
1
Moyo kujaa Maji
14
10
6
0
1
0
Homa ya kiwele
0
3
3
0
0
0
Minyoo
101
72
132
4
0
2
MBUZI
Ndigana baridi
31
27
36
1
1
3
Kukojoa damu
3
6
8
0
0
2
Minyoo
102
95
119
6
1
8
Homa ya kiwele
2
1
4
0
0
0
Moyo kujaa maji
1
0
3
0
0
0
Nguruwe
Ugonjwa wa ngozi
16
0
5
0
0
0

Minyoo
27
32
78
3
1
5










5.0 KUTOA MAFUNZO KWA WAFUGAJI WA MBUZI

     Yametolewa mafunzo kwa wafugaji 22 wa mbuzi na maafisa ugani 9 juu ya ufugaji bora wa mbuzi lengo kubwa ikiwa ni kuboresha mbuzi wa kienyeji kwa kutumia madume ya kisasa ambayo yanatarajiwa kugawiwa kwa wafugaji waliopata mafunzo hivi karibuni kwa ufadhiri wa FAO chini ya mradi wa KJP. Mafunzo yalifanyika kwa siku tano (5) kuanzia tarehe 13-17 june 2022.

6.0 UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MIFUGO.

Ujenzi wa majosho mawili katika vijiji vya Nyakayenzi na Kihomoka umekamilika.

7.0 UTOAJI WA VIBALI.

  •  Kwa kipindi cha robo hii ya nne kitengo cha uvuvi kimetoa vibali kumi kwa ajili ya kusafirisha vyambo vya kuvulia samaki na kiasi cha Tsh.100,000/= kimekusanywa kutokana na vibali hivyo.
  • Kwa upande wa Ng’ombe waliosafirishwa vibali sita vimetolewa kiasi cha Tsh. 48,000/= kimekusanywa.

8.0 MABWAWA YA SAMAKI

Katika kipindi cha robo ya nne 2012/22 mabwawa 2 yamepandwa vifaranga vya samaki kijiji cha Kiga, hivyo kufanya jumla ya mabwawa ya samaki yaliyo pandwa kuwa 36 kati ya 55.

9.0. KUANDAA TAARIFA.

Katika kipindi cha robo ya nne 2021/2022 idara imekusanya takwimu na kuandaa taarifa za udhibiti wa magonjwa ya mifugo za kila wiki na kila mwezi na kuziwasilisha mamlaka husika.

10.0. CHANGAMOTO.

  • Upungufu wa wataalamu wa mifugo.
  • Ukosefu wa Wataalamu wa viumbe wa majini.
  • Upungufu wa Vitendea kazi hususani Makao makuu.

                                                        

11.0. UFUMBUZI.

  • Kuhusu upungufu wa wataalamu mifugo na ukosefu Wataalamu wa viumbe wa majini idara inaendelea kuwasiliana na Idara ya Utumishi na Utawala.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - WAKUSANYA MAPATO January 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. June 18, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA YA WAOMBAJI NAFASI YA UKUSANYAJI MAPATO WALIOITWA KWENYE USAILI January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI WA VITENDO - WAOMBAJI KAZI YA DEREVA II November 17, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WAANDISHI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WASISITIZWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI.

    April 29, 2025
  • UANZISHWAJI WA MFUMO WA UTHIBITI UBORA WA SHULE WATAJWA KUWA CHACHU KATIKA UTATUZI WA CHANGAMOTO ZA KIUTENDAJI..

    April 17, 2025
  • JIMBO LA BUYUNGU LABADILISHWA JINA NA KUITWA JIMBO LA KAKONKO.

    March 13, 2025
  • MHE.KAMAMBA AWAKUMBUSHA WATUMISHI KUWEKEZA KATIKA KILIMO NA BIASHARA PAMOJA NA KUJIENDELEZA KIELIMU.

    March 03, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkurugenzi afafanua mikakati ya kuendeleza zao la parachichi ikiwemo kugawa mashamba kwa wananchi.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Watendaji
  • Ukaguzi wa Miradi Kakonko
  • Lori jipya la Halmashauri laongeza kasi ya utekelezaji Miradi ikiwemo mradi wa Ufyatuaji tofali
  • TASAF kuibua ajira Kakonko
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko - FACEBOOK account
  • Habari motomoto za magazeti kila siku
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO- INSTAGRAM ACCOUNT
  • WANAFUNZI WILAYA YA KAKONKO WALIOPANGIWA SHULE KIDATO CHA KWANZA
  • MATOKEO YA WANAFUNZI WA DARASA LA NNE WILAYA YA KAKONKO 2022

Viunganishi linganifu

  • Poralg
  • Public Service Management and Good governance
  • Necta
  • Tanzania portal
  • Kigoma Region Website
  • Tangazo la nafasi za kazi
  • Matokeo kidato cha nne 2018/2019 haya hapa
  • Balozi wa Norway akabidhi vifaa vya mifugo kakonko
  • Bunge la Tanzania
  • kakonko tv
  • Mapinduzi sekta ya elimu Kakonko
  • halmashauri ya wilaya ya kakonko - habari na mawasiliano
  • MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA 2 MWAKA 2022

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 3

    Simu: +255(028) 2988881

    Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881

    Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz

Mawasiliano

   

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma
    • Kanusho

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa