Wizara ya kilimo yaahidi kutoa mbegu, pembejeo na TARI kusimamia, Halmashauri kufaidika kupitia ushuru baada ya mauzo.
Aidha JEKEZE zinalenga kutatua changamoto na kubaini fursa zilizopo shuleni.
Washiriki kupanda miti, kusafisha mazingira katika hospitali ya Wilaya na kufanya mashindano, Dc Mallasa awasisitiza wadau kuendelea kupanda miti na wazazi kuwaruhusu watoto kuhudhuria masomo ili kuboresha elimu.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa