Mbunge Jimbo la Buyungu Mhe.Aloyce Kamamba akabidhi gari hilo pamoja na vifaa tiba kwa mkuu wa Wilaya.
Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya magharibi, Jumanne Wagana amekabidhi madawati 50 leo Alhamisi Novemba 09, 2023 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali Evance Mallasa na kuahidi kuendelea kushirikiana na Serikali kuchangia katika miradi ya Jamii.
Akikabidhi madawati hayo, Meneja Wagana ameeleza kuwa ni utaratibu wa benki ya CRDB kutenga 1% ya faida wanayoipata kila mwaka kuifikia jamii katika maeneo mbalimbali.
Ameongeza kuwa CRDB inaamini madawati hayo yataleta chachu na mabadiliko katika ufaulu wa wanafunzi ambao ni viongozi wa baadaye.
Wazazi wasisitizwa kuwapelekea watoto wao kupata chanjo kuepuka madhara ya ugonjwa wa polio.
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa