Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anapenda kuwataarifu waombaji wote wa kazi ya Ukusanyaji wa Mapato waliochaguliwa baada ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 30/06/2025 hivyo waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kazini tarehe 01/07/2025 kwa ajili ya kujaza mkataba na kuanza kazi. Kwa maelekezo zaidi na kujua walichaguliwa fungua tangazo hapa chini;
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa