Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kakonko anawatangazia waombaji wa nafasi za wasimamizi wa vituo vya kupiga kura, wasimamizi wasaidizi na makarani waongozaji kufika kwenye usaili tarehe 08/10/2025 saa 3:00 asubuhi katika vituo vilivyoorodheshwa hapa chini ikiambatana na majina ya wale walioitwa kwenye usaili. Tafadhali fungua faili hapa chini;
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa