Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefuta tozo mbalimbali ikiwemo tozo ya kuhamisha fedha ndani ya benki moja na kati ya benki na benki.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepongeza Rais wa Kenya aliyechaguliwa William Ruto na kuwapongeza wakenya kwa kuendesha uchaguzi wa Amani kwa mwaka 2022.
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko wamempongeza na kumshukuru Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuongeza mishahara kwa 23.3% na kuboresha posho hali ambayo imeleta unafuu wa maisha.
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa