Vijiji 44 tayari vimetembelewa na maeneo yaliyohifadhiwa yamebainishwa.
Hatua za kinidhamu kuchukuliwa kwa watendaji wa Kata na Vijiji wataochelewesha miradi kukamilika.
Uzalishaji zao la pamba waongezeka maradufu msimu wa 2022/2023 na kufikia kilo 331,080. Viongozi wahimizwa kulima pamba. Hekari 2224 kulimwa msimu wa 2023/2024. Mbegu tani 50 zimesambazwa kwa wakulima.
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa