Soko la Muhange lililopo katika mpaka wa Tanzania na Burundi limeanza kuleta mabadiliko katika uchumi wa Mwananchi mmoja hususani wanawake.
Serikali yatoa vifaa kwa ajili ya soko la Madini Kakonko hivyo kusababisha delaer mpya kupatikana na ununuzi wa dhahabu kuanza.
Mkurugenzi Mtendaji Ndaki S.Mhuli ametembelea ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Kakonko na kusisitiza ujenzi ukamilike haraka ili huduma zianze kutolewa hivi karibuni.
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa