Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Col.Evance Mallasa ameeleza Wilaya imeanza kuandaa kituo cha michezo katika shule ya Msingi Maendeleo iliyopo kata ya Kakonko Mjini ambapo michezo yote itakuwepo.
Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko katika mwaka wa fedha 2022/2023 imejipanga kuongeza mapato kupitia masoko ya mpakani.
Pongezi kwa Serikali ya awamu ya sita.
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa