Imetumwa: October 31st, 2023
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko Ndaki Stephano Mhuli amekabidhiwa cheti cha usajili wa kampuni ya Halmashauri na Mwanasheria wa Halmashauri siku ya Jumatatu Oktoba 30, 2023.
...
Imetumwa: October 7th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Col. Evance Mallasa, amewataka wafanyabiashara Wilayani Kakonko kuwekeza katika sekta ya biashara na kujikita katika kilimo cha mazao ili kuhakikisha Wilaya ya Kakonko inapig...