Imetumwa: May 16th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali Evance Mallasa amewataka Wananchi kumiliki Ardhi kwa kufuata taratibu na sheria ili kujiletea maendeleo.
Amesema hayo jana Mei 15,2024 Katika Kijiji cha Luhuru kito...
Imetumwa: May 11th, 2024
Kuelekea maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani tarehe 12 Mei, 2024 Shirika la TADEYO (Tanzania Development Youth Organization) kutoka Wilayani Kakonko kwa kushirikiana na Salama Foundation wamefanya ...
Imetumwa: April 19th, 2024
Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha nchini Tanzania na kushika kasi mwezi Januari 2024, madhara yamekuwa yakijitokeza kwa Wananchi ikiwemo nyumba kubomoka, mazao kuharibika, maeneo ya biashara kuathi...