Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anayo furaha kutangaza nafasi 10 za ajira ya Vibarua kwa Watanzania wote wenye sifa stahiki kwa nafasi ya Vibarua wa usafi nafasi 8 na Waingiza Taarifa katika mfumo wa TASAF MIS nafasi 2. Nafasi za ajira hizi zinatokana na uhitaji wa Halmashauri wa huduma ya usafi na wasaidizi. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 12/09/2024 saa tisa na nusu alasiri. Mamombi hyatumwe kwa kutumia anuani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya,
S.L.P 03,
KAKONKO.
Kuangalia sifa na vigezo vya waombaji tafadhali fungua tangazo hapa chini;
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa