Imetumwa: October 12th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali mstaafu Emmanuel Maganga amewahimiza wakulima wa pamba Wilayani Kakonko kulima pamba kwa ubora na kuimarisha ushirika ili kuongeza uchumi kwa kila mtu. Akifany...
Imetumwa: October 3rd, 2017
Mwenyekiti wa wazee wilaya ya Kakonko ndugu Mbonimpa Gerald Bisama ameiomba jamii kutokuwadai kodi za nyumba wazee ambao wamepanga katika maeneo yao. Akisoma risala kwa niaba ya wazee wa Wilaya ya Kak...
Imetumwa: August 10th, 2017
Mkutano wa Baraza la Madiwani la mwaka umefanyika Wilayani Kakonko tarehe 10 Agosti 2017 ambapo Mhe.Toyi Butono, Diwani wa kata ya Gwanumpu (CCM) amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti kwa kupata kura 12...