Imetumwa: April 3rd, 2024
Kamanda wa polisi mkoa wa Kigoma, Filemon Makungu amewataka Viongozi kushirikiana na jeshi la polisi ili kuhakikisha uhalifu unaondoka huku akiwasisitiza viongozi wa dini kuwaambia waumini wao kufuata...
Imetumwa: March 28th, 2024
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ileje Mhe.Ubatizo Songa, Makamu Mwenyekiti, Mhandisi wa Ujenzi na Kaimu Katibu Tawala ya Wilaya ya Ileje wamefanya ziara ya mafunzo Wilayani Kakonko Jumanne Machi 26, 2024...
Imetumwa: March 26th, 2024
Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali mstaafu Thobias Andengenye amekabidhi kilo 5184 za mahindi na bati 1000 kwa kaya 216 walioathiriwa na mvua na upepo ulionyesha Januari 20,2024 Wilayani Kakonko...