Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba nafasi ya vibarua vya usafi na waingiza taarifa katika mfumo wa TASAF MIS zilizotangazwa kupitia tangazo lenye Kumb.Na.HW/KNK/C/30/13/26 la tarehe 05/09/2024kuwa, usaili wa kuandika utafanyika tarehe 30/09/2024 na usahili wa mahojiano utafanyika tarehe 01/10/2024.
Usaili utafanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko saa mbili kamili asubuhi(2:00).
Kwamaelezo zaidi Fungua tangazo.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa