Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba nafasi ya Dereva II iliyotangazwa kupitia tangazo lenye Kumb.Na.HW/KNK/S.40/VOL.II/31 la tarehe 17/07/2023 kuwa, usaili wa mchujo utafanyika tarehe 17/11/2023, usaili wa vitendo tarehe 18/11/2023 na usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 19/11/2023.
Usaili utafanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya kakonko saa mbili kamili asubuhi (2:00) kwa maelezo zaidi fungua tangazo hapa chini;
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa