Imetumwa: March 15th, 2024
Walimu 36 na wazazi 114 kutoka kata 13 katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma wameshiriki Mafunzo ya uhamasishaji wa somo la Sayansi, Hisabati na Teknolojia kwa lengo la kuongeza ufaulu...
Imetumwa: March 9th, 2024
Kufuatia maadhimisho ya siku ya mwanamke kiwilaya yaliyofanyika Wilayani Kakonko Machi 7, 2024 katika kata ya Mugunzu, Wanawake wamelalamikia baadhi ya wanaume kutojishughulisha kusaidiana na wake zao...
Imetumwa: January 9th, 2024
Serikali Wilayani Kakonko imetoa muda wa siku saba kwa wazazi na walezi ambao hawajawapeleka wanafunzi waliochaguliwa kuanza masomo ya kidato cha kwanza baada ya shule kufunguliwa.
Kauli hiyo imeto...