Imetumwa: November 23rd, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Col.Evance Mallasa amewahimiza Wananchi kutenga maeneo ya kupanda miti kama hifadhi ya misitu na kuitunza ili kuwa chanzo cha mapato kwa Kijiji na Wananchi kwa ujumla.
...
Imetumwa: November 12th, 2022
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko Mhe.Fidel Nderego amewataka wazazi kuwapeleka watoto shuleni wakapate haki yao ya msingi ya elimu kwani Serikali itachukua hatua za kisheria kwa Wazazi w...
Imetumwa: November 11th, 2022
Baraza la Madiwani limewataka Watumishi wa halmashauri kuwajibika na kuwa waaminifu katika usimamizi wa fedha za miradi vinginevyo hatua za kisheria zitachukuliwa kwa watakobainika kwa ubadhilifu wa f...