Mh.Mkuu wa Wilaya,Kanali Evance Mesha Mallasa amuomba Meneja wa TARURA Eng.Christian P.Luboya kuongeza nguvu katika kumsimamia Mkandalasi wa barabara hiyo ili aweze kuikamilisha kwa wakati.Pia kamati ya siasa wilaya nao waliongezea kwa kusema kuwa barabara ya kasanda kwenda kituo cha Afya Gwanumpu itasaidia sana akina mama kuweza kufika kituo cha afya Gwanumpu kwa urahisi na kuweza kuokoa vifo vya mama na watoto.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa