Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anawaatarifu kuwa majina ya Wasimamizi wa vituo vya kupigia kura katika Uchaguzi wa SerIkali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba, 2024 yametoka kama yalivyoainishwa hapa chini pamoja na Vituo vya Mafunzo; FINAL WASIMAMIZI WA VITUO.pdf
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa