• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe |
Kakonko District Council
Kakonko District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Mawasiliano
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • Usafishaji Na Mazingira
        • Elimu Msingi
        • Elimu ya Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maji
        • Maendeleo ya Jamii
        • Utumishi na Utawala
        • Fedha na Biashara
        • Maliasili, Ardhi na Mazingira
        • Kilimo cha Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Ujenzi na Zimamoto
      • Vitengo
        • Ugavi na Manunuzi
        • Tehama na Habari
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ufugaji Nyuki
        • Uchaguzi
        • Sheria
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Livestock
    • Fisheries
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Usimamizi
      • Elimu Afya na Maji
      • Huduma za Kiuchumi Ujenzi na Mazingira
      • Udhibiti wa UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
        • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayo tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

VIJANA WILAYANI KAKONKO WAHIMIZWA KUZINGATIA KILIMO.

Imetumwa: September 21st, 2023

Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Bi. Aviana Philipo ambae ni Afisa Tarafa  Kata ya Nyaronga akimwakilisha Mkuu wa Wilaya Kanali Evance Mesha  Mallasa amewahimiza vijana kuzingatia kilimo kwani kilimo ndio mkombozi wa familia na huongeza kipato.

Bi.Aviana amewasisitiza vijana mara baada ya kupatiwa mafunzo wakawe mfano katika  jamii kwa kulima mazao mengi hasa mahindi lishe na maharage lishe na kutoa elimu kwa wakulima katika  jamii inayowazunguka.

Amesema hayo leo Septemba 21,2023, wakati alikifungua mafunzo ya kilimo kwa vijana ambayo yamefanyika katika ofisi ya kata Kiziguzigu na yamewahusisha vijana kutoka Kata ya Kanyonza na Kiziguzigu.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko  Ndugu Revocatus Nandi ambae ni Afisa Kilimo akimwakilisha Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Ndaki Stephano Mhuli amewaasa Vijana kuwekeza katika kilimo kwa kufuata njia bora za kilimo wanazoelekezwa na wataalam na kuepuka kuwa tegemezi kwa wazazi.

Aidha Ndugu Nandi amewasisitiza vijana kutumia mbegu bora na kutumia mbolea za kupandia, kukuzia na kubebeshea mimea ili kuongeza uzalishaji wa mazao. Pia amewataka vijana wote kuwa na shamba la mfano na si kutegemea shamba darasa  na wakawe wawezeshaji kwa wakulima wengine.

Kwa upande wake Diwani wa Kata ya Kiziguzigu Mhe. Martin Mpemba amewataka vijana kujikita katika kilimo kwani hata Serikali inasisitiza Vijana kujiajiri kupitia kilimo na kuepuka kutegemea kuajiriwa na inaendelea kuwainua vijana katika kilimo kupitia programme ya (BBT) Build Better Tommorow.

Baraka Joshua mwezeshaji wa mafunzo hayo kutoka Shirika la Nyakitonto Youth Development in Tanzania ameeleza lengo la Shirika ni kutoa elimu kwa vijana juu ya mbinu bora za kilimo na kuwahimiza vijana kujikita katika kilimo cha kisasa  chenye tija  kwa kupanda mbegu ambazo zimethibitishwa na wataalam  kwa kuzingatia vipimo sahihi wakati wa kulima na kupanda mbegu.


Aidha ameeleza katika mafunzo hayo vijana wamefundishwa umuhimu na faida ya kulima mazao lishe pia wataelekezwa kwa vitendo namna ya kulima mazao lishe kupitia shamba darasa ambapo watajikita katika uzalishaji wa mahindi lishe  na maharage lishe.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - WAKUSANYA MAPATO January 30, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI - ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. June 18, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA YA WAOMBAJI NAFASI YA UKUSANYAJI MAPATO WALIOITWA KWENYE USAILI January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI WA VITENDO - WAOMBAJI KAZI YA DEREVA II November 17, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WAANDISHI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WASISITIZWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI.

    April 29, 2025
  • UANZISHWAJI WA MFUMO WA UTHIBITI UBORA WA SHULE WATAJWA KUWA CHACHU KATIKA UTATUZI WA CHANGAMOTO ZA KIUTENDAJI..

    April 17, 2025
  • JIMBO LA BUYUNGU LABADILISHWA JINA NA KUITWA JIMBO LA KAKONKO.

    March 13, 2025
  • MHE.KAMAMBA AWAKUMBUSHA WATUMISHI KUWEKEZA KATIKA KILIMO NA BIASHARA PAMOJA NA KUJIENDELEZA KIELIMU.

    March 03, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkurugenzi afafanua mikakati ya kuendeleza zao la parachichi ikiwemo kugawa mashamba kwa wananchi.
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Watendaji
  • Ukaguzi wa Miradi Kakonko
  • Lori jipya la Halmashauri laongeza kasi ya utekelezaji Miradi ikiwemo mradi wa Ufyatuaji tofali
  • TASAF kuibua ajira Kakonko
  • Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko - FACEBOOK account
  • Habari motomoto za magazeti kila siku
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO- INSTAGRAM ACCOUNT
  • WANAFUNZI WILAYA YA KAKONKO WALIOPANGIWA SHULE KIDATO CHA KWANZA
  • MATOKEO YA WANAFUNZI WA DARASA LA NNE WILAYA YA KAKONKO 2022

Viunganishi linganifu

  • Poralg
  • Public Service Management and Good governance
  • Necta
  • Tanzania portal
  • Kigoma Region Website
  • Tangazo la nafasi za kazi
  • Matokeo kidato cha nne 2018/2019 haya hapa
  • Balozi wa Norway akabidhi vifaa vya mifugo kakonko
  • Bunge la Tanzania
  • kakonko tv
  • Mapinduzi sekta ya elimu Kakonko
  • halmashauri ya wilaya ya kakonko - habari na mawasiliano
  • MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA 2 MWAKA 2022

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 3

    Simu: +255(028) 2988881

    Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881

    Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz

Mawasiliano

   

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma
    • Kanusho

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa