Kamati ya Mfuko wa Jimbo ikiongozwa na Mwenyekiti wake na Mbunge wa Jimbo la Buyungu Mhe.Aloyce John Kamamba imeagiza Mkaguzi wa ndani kufika katika shule ya Sekondari Rugenge Wilayani Kakonko na kukagua fedha zilizotolewa na mfuko huo baada ya kutoridhishwa wakati wa ziara ya kutembelea miradi iliyofadhiliwa na mfuko hivi karibuni.
Ofisi ya Rais - TAMISEMI imeboresha mfumo wa ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri ilimkuendana na mabadiliko ya sera, sheria kanuni na taratibu zinazohusu ukusanyaji wa mapato katika mamlaka ya Serikali za Mitaa. Karibu ujifunze mfumo huu.
Maandalizi ya Awali kwa ajili ya Ujenzi wa barabara ya Lami kutoka barabara kuu kwenda Hospitali ya Wilaya ya Kakonko kwa urefu wa kilomita 1 na mita 200. Hayo yamethibitishwa baada ya Kamati ya Usalama kutembelea bara barabara husika hivi karibuni.
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa