TARURA yaahidi kurudi kufanya tathmini ya barabara kufikia Oktoba, 2023. RUWASA nao waahidi kurudi kufanya tathmini ya miundo mbinu ya maji.
Halmashauri imejenga madarasa 6 na nyumba 2 za waalimu 2 in 1, Mkurugenzi aahidi kuendelea kuboresha miundo mbinu ya shule ya msingi Nyakivyiru.
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa