MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO ANAPENDA KUWAJULISHA WAKULIMA WOTE WALIOJIANDIKISHA MSIMU WA MWAKA 2022/2023 KUPATA MBOLEA ZA RUZUKU KWENDA OFISI ZA VIJIJI ILI KUHAKIKI TAARIFA ZA MUHIMU. KWA MAELEZO ZAIDI FUNGUA TANGAZO HAPA CHINI;
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa