Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba nafasi ya UKUSANYAJI MAPATO zilitangazwa tarehe 14/01/2025 kuwa usaili wa kuandika utafanyika tarehe 29/01/2025 saa 2:00asubuhi katika Ukumbi wa mikutano wa Halmashauri. Kwa maelekezo zaidi fungua hapa chini;
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa