Mji wa Kakonko ambayo ndiyo Makao Makuu ya Wilaya imepimwa ili kuepuka ujenzi wa holela kabla mji haujapanuka. Jumla ya viwanja 1,233 vimepimwa kwa hatua zote za upimaji (Approved survey) na viwanja 103 vimepimwa kwa ngazi za awali (Demarcation). Mchoro wa Mpangomji katika eneo la Rukenamagulu I imetayarishwa.
Alama za awali za upimaji (Control Points) 18 katika mji wa Kakonko na 12 katika mji wa Nyaronga zimewekwa.
Jedwali 16: Idadi ya viwanja vilivyopimwa katika mji wa Kakonko
Na
Aina ya ipimaji
Maeneo yaliyopimwa
Mwaka wa upimaji
Idadi ya Viwanja
1
Upimaji wa hatua zote (Local approved survey)
Kakonko Mjini
1962
312
2
Upimaji kwa hatua zote (UTM approved survey)
Kanyamfisi
2012- 2013
401
Rukenamagulu II
2013/14
520
Jumla ndogo
1,233
3
Upimaji kwa hatua za awali (Demarcation)
Kihogazi, tumbiko,kanyomvi,ibuga,ubwani na kumyump.u