Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anapenda kuwataarifu waombaji wa kazi wa nafasi ya Msaidizi wa Kumbukumbuku Daraja II waliofanya usaili kuanzia tarehe 22/06/2025 hadi tarehe 23/06/2025 kuwa waombaji waliofaulu usaili ni kama walivyoorodheshwa kwenye tangazo hapa chini. Tafadhali fungua kuona majina ya waliofaulu usaili na masharti kwa wale wanaotakiwa kuripoti.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa