Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anayo furaha kutangaza nafasi 26 za ajira ya mkataba kwa Wananchi wa Kakonko wote wenye sifa stahiki nafasi 26 za wakusanya mapato. Kupata sifa za waombaji na masharti kwa ujumla fungua tangazo hapa chini;
,,,TANGAZO WAKUSANYA MAPATO,,,,,,,,.pdf
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa