• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe |
Kakonko District Council
Kakonko District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Mawasiliano
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • Usafishaji Na Mazingira
        • Elimu Msingi
        • Elimu ya Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maji
        • Maendeleo ya Jamii
        • Utumishi na Utawala
        • Fedha na Biashara
        • Maliasili, Ardhi na Mazingira
        • Kilimo cha Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Ujenzi na Zimamoto
      • Vitengo
        • Ugavi na Manunuzi
        • Tehama na Habari
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ufugaji Nyuki
        • Uchaguzi
        • Sheria
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Livestock
    • Fisheries
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Usimamizi
      • Elimu Afya na Maji
      • Huduma za Kiuchumi Ujenzi na Mazingira
      • Udhibiti wa UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
        • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayo tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

Maadili

Kamati ya Maadili ina wajibu wa kuhakikisha waheshimiwa mwadiwani wanafuata maadili na kuzingatia sheria na taratibu za nchi.

Kwa mujibu wa Kanuni za sheria ya Serikali za Mitaa Mamlaka za Wilaya) (Maadili ya Madiwani za Mwaka 2000) 

sehemu ya (9) inahusu uvunjaji wa maadili na kifungu cha 32.

Malalamiko kuhusu uvunjaji wa kanuni za maadili ya madiwani yanaweza kutolewa na mmojawapo kati ya watu wafuatao:

1. Mtu yeyote ambaye ameathiriwa au anaelekea kuathiriwa na kitendo au maamuzi yaliyofanywa na diwani

2. Diwani

3. Mtumishi wa halmashauri

4. Kamati ya maadili kwa kuamua yenye

Hata hivyo mtu yeyote mwingine anaweza kutoa taarifa kuhusu uvunjaji wa Kanuni za Maadili kwa Kamati ya Maadili ili afikiriwe na kutokana na taarifa hiyo kamati inaweza kutayarisha malalamiko kama inafaa kufanya hivyo.

Kwa mujibu wa kifungu cha 33  utaratibu wa kuwasilisha malalamikoni  kama ifuatavyo;

i) Lalamiko litakalowasilishwa kwenye kamati ya maadili litatolewa kimaandishi katika fomu inyohusika itakayotolewa na kamati          ambayo itakuwa na taarifa zilizotajwa katika kanuni ndogo na kusainiwa na mlalamikaji

ii). Pale ambapo mlalamikaji hawezi kuandika, mlalamikaji atatoa maelezo yake kuhusu uvunjaji wa maadili ambayo yatachukuliwa         au  kuandikwa na katibu na hatimaye mlalamikaji ataweka alama ya dole gumba mwisho wa maelezo yake.

iii). Aidha lalamiko liwe na jina. Hata hivyo kamati  haitalazimika kutaja jina la mlalamikaji

       Kamati inapaswa kupata habari za uhakika

Kwa mujibu wa kifungu cha 34  kamati inaweza kushughulikia malalamiko kama ifuatavyo;

Kamati itajiwekea utaratibu wa kusikiliza malalamiko ambao unaweza kuwa pamoja na kuita mashahidi ili kuthibitisha tuhuma au kumwita diwani  aliyetuhumiwa ili ajitetee.

Matangazo

  • FORM I 2021 JOIN INSTRUCTIONS December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ujenzi wa stendi ya kisasa Kakonko waanza kutekelezwa kwa gharama ya Tsh.2.1 bilioni kwa siku 365

    June 20, 2019
  • Hospitali ya Wilaya ya Kakonko yapokea msaada wa vifaa tiba na madawa ya Tsh.88,295,430/=

    May 02, 2019
  • BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA AKABIDHI VIFAA VYA MIFUGO KAKONKO

    January 24, 2019
  • MIRADI 3 YA MAJI YA BILIONI 1.5 KUTEKELEZWA NDANI YA MIEZI 6 KAKONKO

    June 08, 2018
  • Tazama zote

Video

Maadhimisho ya siku ya wanawake kitaifa yafanyika kwa ufanisi Mkoani Simiyu Machi 8, 2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Watendaji
  • Pakua hati yako ya malipo ya mshahara Hapa "Utumishi Portal"
  • Tangazo la zabuni
  • Matokeo ya Mitihani ya baraza
  • Nafasi za kazi zinazotolewa na Sekretalieti ya Ajira
  • Taarifa kwa Umma zinazotolewa na "TAMISEMI"

Viunganishi linganifu

  • Poralg
  • Public Service Management and Good governance
  • Necta
  • Tanzania portal
  • Kigoma Region Website
  • Tangazo la nafasi za kazi
  • Matokeo kidato cha nne 2018/2019 haya hapa
  • Balozi wa Norway akabidhi vifaa vya mifugo kakonko

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 3

    Simu: 028-2820137

    Simu ya Mkononi: 0757470800

    Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz

Mawasiliano

   

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma
    • Kanusho

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa