Watoto wenye umri kati ya 0-6 wamekuwa wakipokelewa kwa ajili ya kusoma elimu ya awali.Halmashauri ina jumla ya shule za awali 60, kati ya hizo 59 ni za serikali na 1 ni shule binafsi.
6.1.2 ELIMU YA MSINGI.
Wilaya ya Kakonko inasimamia Elimu ya awali, Elimu ya Msingi na Ufundi Stadi. Kuna jumla ya shule za msingi 59 ambapo shule zote hizo ni za serikali. Aidha Wilaya ina vituo 2 vya Ufundi Stadi vilivyopo Shule za msingi za Kasanda na Kasuga vyenye jumla ya wanafunzi 30. Kati ya shule zote shule 44 zina Elimu ya Awali.
6.1.2.1 Uandikishaji wa watoto wa darasa la kwanza.
Uandikishaji wa watoto wa darasa la Kwanza kwa miaka mitano (2011 – 2016) umekuwa wa kuridhisha. Kiwango cha uandikishaji dhidi ya malengo kimeongezeka kutoka 98.5% mwaka 2011 hadi 99.9% kwa mwaka 2016. Kwa mwaka 2016, Mafanikio haya yametokana na ongezeko la watoto wenye umri wa kuanza shule kuongezeka ambao wametayarishwa kupitia Elimu ya awali.. Takwimu ya malengo na hali halisi kwa jinsia ni kama inavyoonyeshwa katika jedwali la hapa chini.
Jedwali Na: 21. Takwimu ya uandikishaji watoto wa darasa la kwanza
Mwaka
Malengo
Walioandikishwa
Wasioandikishwa
Wav
Was
Jml
Wav
Was
Jml
%
Wav
Was
Jml
%
2011
2,498
2,326
4,824
2,470
2,280
4,750
98.5
28
46
74
1.5
2012
2,434
2,312
4,746
2,404
2,287
4,691
98.8
30
25
55
1.2
2013
2,493
2,324
4,817
2,486
2,314
4,800
99.6
7
10
17
0.4
2014
2,509
2,567
5,073
2,507
2,562
5,069
99.9
2
5
7
0.1
2015
2,844
2,734
5,578
2,512
2,514
5,026
90.1
332
220
552
9.9
2016
17535
17956
35491
6.1.2.2. Idadi ya wananfunzi wa shule za msingi 2011 hadi 2015.
Idadi ya wanafunzi katika shule za msingi kwa miaka 5 (2011 – 2015) imepanda kutoka
wanafunzi 28,586 hadi 31,862, ingawa ilishuka kwa mwaka 2012 kwa 3.2%. Aidha idadi hiyo
kwa mwaka 2011 na 2012 inajumuisha wanafunzi wa elimu ya msingi na awali. Uwiano kati ya
wanafunzi wa kiume na kike ni karibu hamsini kwa hamsini (50:50).
Jedwali Na: 22. Usajili ya wanafunzi Elimu ya msingi mwaka 2011 – 2015
Mwaka
Maelezo
Wavulana
Wasichana
Jumla
Mikondo
2011
Jumla (awali + msingi)
14,133
14,453
28,586
636
2012
Jumla (awali + msingi)
13,889
13,791
27,680
616
2013
Elimu ya awali
1,496
1,463
2,959
119
Elimu ya Msingi
13,971
13,792
27,763
694
Jumla
15,467
15,255
30,722
813
2014
Elimu ya awali
1,708
1,790
3,498
139
Elimu ya msingi
13,683
13,742
27,425
687
Jumla
15,391
13,532
30,923
826
2015
Elimu ya awali
2,758
2,910
5,668
227
Elimu ya msingi
12,920
13,274
26,194
655
Jumla
15,678
16,184
31,862
882
2016
Elimu ya awali
Elimu ya msingi
Jumla
6.1.2.3. Miundombinu na samani za elimu ya msingi 2011 – 2015
Wilaya inaendelea kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia kadiri fedha inavyopatikana. Katika kipindi cha miaka 4, idadi ya vyumba vya madarasa vimekuwa vikiongezeka kidogo kidogo kutoka 469 mwaka 2011 hadi 484 mwaka 2015. Hali kadhalika idadi ya nyumba za walimu imeongezeka kutoka nyumba 179 mwaka 2011 hadi nyumba 223 mwaka 2015 sawa na 30.9% ya mahitaji.
Jedwali Na: 23. Miundombinu na samani ya Elimu ya msingi 2011 – 2015
Na
Miundombinu
2011
2012
2013
2014
2015
Mahi-taji
Yaliyopo
Mahi-taji
Yaliyopo
Mahitaji
Yaliyopo
Mahi-taji
Yaliyopo
Mahi-taji
Yaliyopo
Idadi
%
Idadi
%
Idadi
%
Idadi
%
Idadi
%
1
Madarasa
636
469
73.7
616
475
77.1
813
482
59.3
694
482
69.5
721
480
66.6
2
Nyumba za Wlim
451
179
39.7
492
198
40.2
532
218
41.0
721
223
30.9
746
226
30.3
3
Mat.vyoo - wav
583
246
42.2
556
313
56.3
559
237
42.4
641
200
31.2
668
277
41
4
Mat. vyoo - was
728
293
40.2
690
376
54.5
690
242
35.1
796
279
35.1
618
258
42
5
Mat vyoo wal -Me
57
40
70.2
57
40
70.2
59.
46.
78.0
59
59
100
1,286
535
41.6
6
Mat. vyoo wal- Ke
57
39
68.4
57
40
70.2
59.
38.
64.4
59
59
100
7
Ofisi za walimu
57
45
70.2
57
45
76.3
59.
45
76.3
59
51
86.4
188
103
54.8
8
Madawati (wat 3)
9,529
7,841
82.3
9,227
7,266
78.7
9,255
7,327
79.2
9,255
7,377
79.7
7,178
2,693
37.5
9
Viti
1,564
907
58.0
1,608
890
55.3
1,506
894
59.4
1,506
894
59.4
1506
894
59
10
Meza
1,087
599
55.1
1,108
605
54.6
1,345
602
44.8
1,375
773
56.2
1375
602
44
11
Kabati
451
152
33.7
616
193
31.3
721
167
23.2
807
167
20.7
807
167
21
12
Shubaka
118
77
65.3
118
78
66.1
118
84
71.2
594
84
14.1
594
84
1
6.1.2.4. Mahitaji ya walimu katika elimu ya msingi mwaka 2011- 2015
Mwaka 2011 walikuwepo walimu 451 wakati mahitaji halisi ni 733 na hivyo kuwepo upungufu wa walimu 282. Upungufu huo uliendelea kupungua hadi kuwepo upungufu wa walimu 176 mwaka 2015 sawa na 24%.
Haujakuwepo na tofauti ya uwiano wa walimu kwa wanafunzi kwani imebakia 1:45 toka mwaka 2011 hadi mwaka 2015. Hii inatokana na kuwa ongezeko halisi ya wanafunzi wanaosajiliwa mashuleni imekuwa ikiongezeka kwa 5.4% kwa mwaka wakati ongezeko la walimu kwa mwaka ni 5.7%.
Jedwali Na: 24. Mahitaji ya walimu katika s/msingi 2011 – 2014