UTANGULIZI:
Idara ya Ujenzi na Zimamoto ina Vitengo vitatu
A: KAZI ZA KILA KITENGO
1. KITENGO CHA UMEME NA MITAMBO
a) Kukagua na kusimamia matengenezo ya Magari yote ya Halmashauri
b) Kukagua na kusimamia mfumo wa Umeme katika Majengo yote ya Halmashauri
2: KITENGO CHA MAJENGO:
3. KITENGO CHA BARABARA:
UTEKELEZAJI:
A.KITENGO CHA UMEME NA MITAMBO
a) Magari manne yamekaguliwa na moja limetengenezwa
b) Magari matatu yamefanyiwa Matengenezo madogo madogo (Minor service).
B: KITENGO CHA MAJENGO:
C: KITENGO CHA BARABARA:
Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: 028-2820137
Simu ya Mkononi: 0757470800
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa