• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe |
Kakonko District Council
Kakonko District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Mawasiliano
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • Usafishaji Na Mazingira
        • Elimu Msingi
        • Elimu ya Sekondari
        • Afya na Ustawi wa Jamii
        • Maji
        • Maendeleo ya Jamii
        • Utumishi na Utawala
        • Fedha na Biashara
        • Maliasili, Ardhi na Mazingira
        • Kilimo cha Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Ujenzi na Zimamoto
      • Vitengo
        • Ugavi na Manunuzi
        • Tehama na Habari
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ufugaji Nyuki
        • Uchaguzi
        • Sheria
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Livestock
    • Fisheries
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Usimamizi
      • Elimu Afya na Maji
      • Huduma za Kiuchumi Ujenzi na Mazingira
      • Udhibiti wa UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
        • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayo tekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

Maji

Idara ya maji inalo jukumu la kuhakikisha Wilaya ya Kakonko inapata maji kwa kufanya matenegenezo kwa mifumo ya maji iliyopo, kuongeza mfumo wa maji  na kuandaa maadiko kwa ajili ya kupata miradi mipya ya maji.

HALI YA HUDUMA YA MAJI KAKONKO MJINI

Mji wa Kakonko katika kipindi hiki umeendelea kupata majisafi na salama kutoka katika vyanzo vyake ambavyo ni visima virefu 02, Visima vifupi 03 pamoja na Maji ya kusukumwa kwa nguvu za umeme kutoka katika chanzo cha Maji kisima kirefu cha Mbizi.

Maji ya kusukumwa na pampu ya nguvu za umeme yameendelea kupatikana katika maeneo ya Mji wa Kakonko kwa wateja wa majumbani(private connection) ambao kwa sasa idadi imefikia  wateja 105 , Vituo vya Kuuzia Maji 11 Pamoja na kituo cha afya cha Muganza. Mradi huu una wezo wa kuzalisha lita za ujazo 160,000 kwa siku sawa na mita za ujazo 160. Kiasi hiki cha Maji kinatosheleza mahitaji ya Maji kwa watu 3570 kwa siku.

HALI YA HUDUMA VIJIJINI

Wananchi wanaendelea kupata huduma ya Maji kutoka katika vyanzo mbalimbali tulivyonavyo kama vile visima virefu na vifupi, Chemichemi, Mabwawa mito na maji kuvunwa kwa mvua.

Aidha wananchi wa vijiji vya Kiga, Kinyinya/Churazo, Rumashi, Kabare, Gwarama, Nyabibuye, Bukirilo na Rusenga wanaendelea kupata huduma za Maji kutoka katika skimu zao za Maji ya bomba chini ya uongozi wa Kamati na jumuiya za Maji.

 

KAZI ZILIZOFANYIKA

 Katika kipindi cha robo ya pili kazi zifuatazo zimefanyika

  1. Kufanya kazi ya upimaji wa msingi (topographic survey) katika kijiji cha Nyabibuye ili kupata takwimu za kuwezesha kufanya usanifu wa mradi wa Maji.
  2. Kuandaa mpango kazi wa miaka 5 (16/17-20/21) wa ujenzi wa miradi ya Maji awamu ya II na kuuwasilishaWizarani na Mkoani.
  3. Kufanya matengenezo ya Mivujo ya Maji na visima virefu.

Matangazo

  • FORM I 2021 JOIN INSTRUCTIONS December 18, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ujenzi wa stendi ya kisasa Kakonko waanza kutekelezwa kwa gharama ya Tsh.2.1 bilioni kwa siku 365

    June 20, 2019
  • Hospitali ya Wilaya ya Kakonko yapokea msaada wa vifaa tiba na madawa ya Tsh.88,295,430/=

    May 02, 2019
  • BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA AKABIDHI VIFAA VYA MIFUGO KAKONKO

    January 24, 2019
  • MIRADI 3 YA MAJI YA BILIONI 1.5 KUTEKELEZWA NDANI YA MIEZI 6 KAKONKO

    June 08, 2018
  • Tazama zote

Video

Maadhimisho ya siku ya wanawake kitaifa yafanyika kwa ufanisi Mkoani Simiyu Machi 8, 2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Watendaji
  • Pakua hati yako ya malipo ya mshahara Hapa "Utumishi Portal"
  • Tangazo la zabuni
  • Matokeo ya Mitihani ya baraza
  • Nafasi za kazi zinazotolewa na Sekretalieti ya Ajira
  • Taarifa kwa Umma zinazotolewa na "TAMISEMI"

Viunganishi linganifu

  • Poralg
  • Public Service Management and Good governance
  • Necta
  • Tanzania portal
  • Kigoma Region Website
  • Tangazo la nafasi za kazi
  • Matokeo kidato cha nne 2018/2019 haya hapa
  • Balozi wa Norway akabidhi vifaa vya mifugo kakonko

Waliotembelea tovuti

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 3

    Simu: 028-2820137

    Simu ya Mkononi: 0757470800

    Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz

Mawasiliano

   

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma
    • Kanusho

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa