MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO NDAKI STEPHANO MHULI ANAWAKARIBISHA WATUMISHI WOTE WAPYA WALIOPANGIWA HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023. WATUMISHI WAPO KWENYE MAZINGIRA MAZURI NA KAZI INAENDELEA KWA MWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU ZILIZOONESHWA KWENYE TANGAZO HAPA CHINI;
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa