Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anapenda kuwataarifu waombaji wa kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 28/07-01/08/2022 kuwa waombaji wa kazi waliofaulu usaili huo ni kama iliyoorodeshwa katika Tangazo hili. Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri (Mkurugenzi Mtendaji) ndani ya siku saba kuanzia tarehe ya Tangazo hili wakiwa na vyeti halisi. Kuona majina na maelekezo zaidi fungua tangazo hapa chini;
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa