Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anapenda kuwataarifu waombaji wa kazi ya Ukusanyaji wa Mapato waliochaguliwa baada ya kushinda usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 29/01/2025 mnatakiwa kuripoti kazini ili kuweza kupangiwa majukumu yenu na kukamilisha taratibu za ajira mlizoomba. Aidha, waombaji waliopata nafasi wanatakiwa kuripoti Halmashauri ya Wilaya tarehe 03/02/2025 kwa ajili ya kujaza Mkataba na kuanza kazi.
Kupata majina ya waliopita usaili na maelekezo zaidi fungua hapa chini;
TANGAZO LA KUITWA KAZINI WAKUSANYA MAPATO.pdf
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa