MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO ANAPENDA KUWATAARIFU WAOMABJI WOTE WALIOOMBA NAFASI ZA KAZI YA MTENDAJI WA KIJIJI III, KATIBU MUHTASI III, PAMOJA NA DEREVA II ZILIZOTANGAZWA KUPITIA TANGAZO LA TAREHE 20/06/2022 KUWA, USAILI WA MCHUJO UTAFANYIKA TAREHE 28/07/2022, USAILI WA VITENDO UTAFANYIKA TAREHE 29/07/2022 NA USAILI WA MAHOJIANO UTAFANYIKA TAREHE 30/07/2022. hII NI KWA NAFASI YA ZA DEREVA II PAMOJA NA KATIBU MUHTASI III. AIDHA KWA NAFASI YA ZA MTENDAJI WA KIJIJI III USAILI WA MCHUJO WA KUANDIKA UTAFANYIKA TAREHE 31/07/2022 AMBAPO USAILI WA MAHOJIANO UTAFANYIKA TAREHE 01/08/2022. USAILI UTAFANYIKA KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI SAA MBILI KAMILI ASUBUHI. KWA MAELEKEZO ZAIDI FUNGUA HAPA CHINI;
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko
Anuani ya Posta: P.O.BOX 3
Simu: +255(028) 2988881
Simu ya Mkononi: +255(028) 2988881
Barua Pepe: ded@kakonkodc.go.tz
Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Haki zote zimehifadhiwa